CHUO CHA UALIMU DC BRILLIANT
USAJILI NAMBA CU.154.
S.L.P 1448
BUKOBA
Simu: +255 789625113/+255 626190412
Email: brilliantnyakatoo@gmail.com
1.USAJILI: Chuo kimesajiliwa na wizara ya elimu sayansi na teknolojia kwa usajili namba CU.154.
2.ENEO: Chuo kipo kata ya Nyakato,Wilaya ya Bukoba katika mkoa wa Kagera ,Umbali wa
kilometa saba (7) kutoka Bukoba mjini kuelekea barabara ya kashozi.
3.MIUNDO MBINU: Chuo kina miundo mbinu bora na ya kisasa.
![]() |
JENGO LA UTAWALA |
![]() |
DARASA |
![]() |
DARASA |
![]() |
DARASA |
MUONEKANO WA MAZINGIRA YA CHUO |
MUONEKANO WA MABWENI |
MUONEKANO WA MABWENI |
MAZINGIRA YA NJE YA CHUO WATUMISHI WA CHUO |