1. Certificate
2. Diploma
USAJILI: Chuo kimesajiliwa na wizara ya elimu sayansi na teknolojia kwa usajili namba CU.154.
ENEO: Chuo kipo kata ya Nyakato,Wilaya ya Bukoba katika mkoa wa Kagera ,Umbali wa
kilometa saba (7) kutoka Bukoba mjini kuelekea barabara ya kashozi.
MIUNDOMBINU: Chuo kina miundo mbinu bora na ya kisasa.
Designed by Jully161Lee | Syliclassic