Ads block

Banner 728x90px

Other Minimal Qualification Entry for all Programs (2022/2023)


S/N

JINA LA KOZI

MUDA

SIFA ZA KUJIUNGA

1

Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali 

 

Miaka 2

Ufaulu Daraja la I-III (kidato cha Nne)  Bofya Hapa kupata fomu

2

Diploma ya Uongozi na Utawala katika Elimu (DEMA)

miaka 2

 

Ufaulu angalau Pass 4

(kidato cha Nne) na Ualimu  Daraja la IIIA( KWA WALIMU KAZINI ) Bofya Hapa kupata fomu

3

Astashahada ya  Elimu Msingi.(GATCE IIIA)

Miaka 2

Ufaulu Daraja la I-III (kidato cha Nne) Bofya Hapa kupata fomu

4

Stashahada ya Elimu Msingi (DPTE)

 

Miaka 2

Ufaulu angalau Pass 4

(kidato cha Nne) na Ualimu  Daraja la IIIA Bofya Hapa kupata fomu

5

Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali

Miaka 2

Ualimu  Daraja la IIIA Bofya Hapa kupata fomu

6

Basic Technician Certificate in Distance Education (BTCDE)

Mwaka 1

Ufaulu angalau Pass 4

(kidato cha Nne) Bofya hapa kupata form

7

Komputa (ICT)

Kuanzia Mwezi 1-3

Darasa la 7, au Kidato Cha Nne au Cheti Chochote kinachotambulika Bofya Hapa kupata fomu

8

Ujasiliamali (Entrepreneurship)